Unakuwa Mbwakni ukifanya any of these things

1. Kuchukia Wasanii

Kama wewe Ni yule mtu mwenye ukijua rafiki yako anataka kuwa rapper ama mwimbaji unaanza kusema eti Wasanii hukuwa m*l*ya ama Wasanii ndio wafanikiwe lazima waingie illuminati. Ukiskia Diana B ametoa wimbo unaanza chuki na hata hujaiskiza. Unasema Wasanii wa Kenya wanabore na hata hujawai nunua ticket ya show yoyote hata ya msanii mwenye unasema ako poa. Kama ulikuwa unataka kuwa msanii ukashindwa tafadhali acha kuchukia wenye walifanikiwa. Usiseme eti Kenya Haina Wasanii wakati naona kina King Kaka, Bien Aime, Khaligraph Jones, Adasa, Masauti, Nadia Mukami, Octopizzo, Nyashinski, Jovial, Otile Brown, Faith Stan na wengineo wanatuwakilisha fiti. Usichukie watu ukiona wako vile unatakanga kuwa.

Mtu yeyote akiwahi jaribu kukuzima akikwambia unambore mfanyie venye umeonyenshwa kwa hiyo vida;

2. Kusema ma-Pastor wote ni wakora

Kitu wa kwanza mtu yeyote ambaye anahubiri injili ya Mungu lakini ako na ulaghai ni ‘master’ si pastor. Kwa hivo ukianza kusema eti kila Pastor ako na usherati na udang’anyifu ujue unaongea about ‘master’ si pastor. Pastor wako huku bana wanakuombea hadi mapepo zinakutoka na mpaka Roho Mtakatifu anashuka hapo ulipo. Italingana ni Nani anakuhubiria. Kama unahubiriwa na ‘Master’ ole wako lakini usiseme eti ma-Pastor Ni wabaya juu ya “thunder fire you!”

3. Kusema all men are dogs or all women are b*tches

Kwanza kabisa, kwani umekaa na wanaume wangapi ama wanawake wangapi ndio ufikie hatua ya kusema hivo. Kama umekaa na wote ndio ukafikia hiyo conclusion si unaona pia wewe utakuwa Mbwakni? Nani alikuambia mtu anajaribingi wote? Watu Ni wazuri huku nje bwana Social media isikudang’anye. Wewe peke yako ndio unafanya usherati ukidhani ndio mtindo wa kisasa. Chunga ama gonorrhea itakuaibisha.

4. Kupigana juu mtu wa Kabila lenu hajachaguliwa rais

Mtu wangu hii dunia ni kubwa ikilinganishwa na tribe yenu. Kama mjaluo aliongoza Marekani mahali Kuna all races kwanini Mturkana asiongoze Kenya mahali Kuna race moja pekee? Si lazima kiongozi awe Ni wa tribe yenu bora Ni mkenya.

5. Ukiona chali na Dem wakitembea pamoja unasema wanakulananga

My friend, pengine wametoka Bible study. Labda hata Ni sister yake. Ama labda huyo jamaa ni Ethiopian Eunuch. Si ukiona Dem wakichekeshana na chali unajiambia wanaenda kwa room. Wanaenda kwa room kufanya Nini? My friend acha kujiambia vitu zako. Hebu jiulize wewe kila Dem ushaiongea naye mlienda kwa room?

6. Mtu akitajirika unasema Ni shetani

Kwani Mungu hana uwezo kuliko shetani? Unaezaje sema kuwa apeanaye utajiri ni shetani? Shetani aliumbwa na Nani? Watu wanafanya kazi usiku na mchana bana. Ukiona watu wametajirika usidhani imeanguka Kama manna toka heaven. Walikuwa kazini ukiwa umelala ndio maana huelewi mahali utajiri wao umetoka. Si lazima mtu akuelezee vile alitajirika ndio usiseme ni illuminati.

7. Mtu wa jinsia tofauti akiwa nice to you unaanza kuambia watu anakutaka

Mtu wangu kama area za kwenu watu hukuanga nice wakati wanataka kitu kwako kuna watu walifunzwa kuwa kind, generous, humble and polite kutoka wakiwa wandogo. Ukiona Dem amesmile kwako usianze kumfuata fuata ukidhani anataka muende kwa room. Labda hata ameolewa. Na Kama wewe Ni Dem ukiona mwanaume amekuwa mpoa kwako usianze kum-avoid ukidhani ako after you juu utangoja aku-chase hadi uzeeke.

8. Ukiona msee anajua kung’ara unasema anajifanya

Buda sasa tuvae nguo shaghalabaghala ndio tusiambiwe tunajifanya? Kung’ara vizuri haimaanishi mtu anajifanya tajiri. Kama uko comfortable kukaa ukiwa mchafu usichukie watu waking’ara. Mtu akiongea kizungu fluent hajifanyi. Mtu akiongea Kiswahili sanifu hajifanyi juu hata wewe si eti uking’oang’oa unajifanya.

9. Kunyonga tumbili

Ukianza kufikiria kunyonga tumbili Sasa jua umeanza kuwa bl*dif*kin. Enda utafute mtu mvishane Pete kwa chada watu wakishuhudia awe wako na usiwahi fikiria ku-choke monkey.

10. Kusema wenye wanaomba God Ni wanyonge na wewe Ni G sababu unaaminia Hip-hop kuliko Mungu

Usione mtu hupiga magoti akiabudu Mungu na ni mnyenyekevu udhani ukichokoza Bibi yake hatakupiga. Hata Kama unajifanya kichwa ngumu juu mziki mbaya imekuchocha usidhani hao watu wanyenyekevu hawako strong kukushinda. Saa zingine hii u-gangster watu hujitia ni tuvitu walimake up kwa akili zao na wanakujanga kujutia.

11. Mtu akinunua nyama ya mia unasema anajifanya ako na pesa na saa hiyo umekunywa chang’aa ya Mia tano

Hiyo ni umbwakni!

Kama huwa unafanya any of the above, rekebisha kwa upendo jo.

Leave a Reply